Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Apr 10, 2019 #1 Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani. Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu barabarani si noti au pesa.
Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani. Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu barabarani si noti au pesa.
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,245 Apr 10, 2019 #2 Tabu sana siku hizi... Sana sana ukutane na shilingi mia ama mia mbili... ""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Tabu sana siku hizi... Sana sana ukutane na shilingi mia ama mia mbili... ""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Apr 10, 2019 #3 hizo used condom zinakumbusha ukipenda sana hela utaukwaa ukimwi
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 Apr 10, 2019 #4 Sky Eclat said: Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani. Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu barabarani si noti au pesa. Click to expand... Time is moving very Fast Sent from my iPhone using Tapatalk
Sky Eclat said: Jiulize lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuokota hela? Wakati tukiwa wadogo kukutana na noti ya 20 au 10 ilikuwa kawaida ukitumwa dukani. Sikuhizi tuna bahati ya kukutana na used condoms tu barabarani si noti au pesa. Click to expand... Time is moving very Fast Sent from my iPhone using Tapatalk
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Apr 10, 2019 Thread starter #5 Abu_yazid said: Tabu sana siku hizi... Sana sana ukutane na shilingi mia ama mia mbili... ""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE..."" Click to expand... Imeangushwa na muuza mboga kwa bahati mbaya
Abu_yazid said: Tabu sana siku hizi... Sana sana ukutane na shilingi mia ama mia mbili... ""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE..."" Click to expand... Imeangushwa na muuza mboga kwa bahati mbaya