Tangu BBC dira ya dunia ihamie Nairobi imekosa mvuto

Tangu BBC dira ya dunia ihamie Nairobi imekosa mvuto

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Sijui ni Mimi tu au na wengine ila kwangu naiona dira ya dunia TV inayo oneshwa na saa tatu na kupitia star TV tangu ihamie Nairobi haivutii kabisa

Sauti mbovu, mtangazaji mmoja kila siku, picha za kiwango Cha EATV au ITV vile hakuna kitu Cha maana habaari za juzi za BBC English ndio wanatafsiri leo

Wajipange mm narudi kwa voa Sasa

USSR
 
Mbona hii ya sasa inarushwa moja kwa moja kutoka Nairobi kumbe hujui? Akina Kikeke walishajua mabadiliko yaliyokuwa yanaenda kutokea ndio maana wakajiondoa mapema.
 
Mbona hii ya sasa inarushwa moja kwa moja kutoka Nairobi kumbe hujui? Akina Kikeke walishajua mabadiliko yaliyokuwa yanaenda kutokea ndio maana wakajiondoa mapema.
Fafanua kidogo walijua nini?
 
Kwako ww. Ila mm na familia yangu tunafurahia Habari zao na tuona mvuto mzr
 
Nadhani inaruka saa mbili usiku kupitia KBC halafu saa tatu inarudiwa Star Tv kama recorded ndio maana Quality inakua imepungua.
 
Back
Top Bottom