Sijui ni Mimi tu au na wengine ila kwangu naiona dira ya dunia TV inayo oneshwa na saa tatu na kupitia star TV tangu ihamie Nairobi haivutii kabisa
Sauti mbovu, mtangazaji mmoja kila siku, picha za kiwango Cha EATV au ITV vile hakuna kitu Cha maana habaari za juzi za BBC English ndio wanatafsiri leo
Wajipange mm narudi kwa voa Sasa
USSR