Lengo la taarifa ni kueleweka kwa inaye mfikia na ni bidii ya mtoa taarifa kuifanya taarifa yake/ ujumbe ueleweka hivyo basi kama atafumba fumbo au kuitoa kwa minajili ya kuonekana yeye ni mwerevu kwa kufanya watu wasielewe basi usiumize kichwa ndugu, achana nayo
Wanatangaza namba ya walio ugua au kufa. Majina, kazini mtu anapofanyia, au ndugu ya nani wala nani (Mdogo wa mbunge wa....) hiyo haitangazwi.Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.
Matukio ni mengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Msemo huo ulikuwa unatupa wakati mgumu kuuelewa tukiwa form one! Kuna mwalimu wa Kihindi sliyr kuwa anafundisha Kingereza, siku moja katujia ni msemo huo - hakuna mwanafunzi aliye mwelewa na ukiongezea lafudhi yake ya Kihindi anapo tamka maneno ya kingereza ndio ika- complicate mambo zaidiSisi kihabari, no news is good news.
P
Mkuu Bukyanagandi, kila nikilisoma jina lako, namkumbuka Namajeje wa Bukyanagandi.Msemo huo ulikuwa unatupa wakati mgumu kuuelewa tukiwa form one! Kuna mwalimu wa Kihindi sliyr kuwa anafundisha Kingereza, siku moja katujia ni msemo huo - hakuna mwanafunzi aliye mwelewa na ukiongezea lafudhi yake ya Kihindi anapo tamka maneno ya kingereza ndio ika- complicate mambo zaidi
Mwishowe akatupa mifano akaserma hivi "Suppose anatokea mtu mwongo akawambia kwamba Soko la mjini Bukoba limepigwa radi na watu wengi kupoteza maisha,sasa mkimtuma mtu mwaminifu kwenda kuhakiki kama habsti hizo mbaya ni za kweli au la, akirudi anatabasamu akamuhoji "no news?" akijibu "Yes" unamjibu “is good news" kwa maneno mengine kama hakuna taarifa/habari mbaya basi huyi hiyo ni habari njema/yenye kheri.
Mkuu umeongea kifalsafa zaid embu tufafanulie sis vilaza huku😄😄Sisi kihabari, no news is good news.
P
Habari ni pale mtu anapomuuma mbwa kinyume chake si habari.
Laah, haki ya nani wallah! Tunakwisha tunajiona huku tukipiga makofi kuunga mkono juhudi za kutumaliza.Mkuu Bukyanagandi, kila nikilisoma jina lako, namkumbuka Namajeje wa Bukyanagandi.
Last news ya Corona kwa Tanzania ni last Friday, no new case, no new death na watu wanapona!.
Saturday na leo Sunday there will be no news!.
Kwavile last news was good news, and now no news is good news, lets enjoy our weekend, tusubirie news za Monday.
Formula ya no news is good news ni ile ile ya " mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba!"
P
Habari ni nyingi, maiti ya ndugu yake mbunge Arumeru inasemekana ilihifadhiwa mahali pamoja na maiti nyinginezo mbili zilizokutwa na maambukizi, automatically ikawabidi ku cease maiti zote zilizokuwepo kwa hofu ya contamination.Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.
Matukio ni mengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa watu hawatachukua tahadhari wakiamini wako Salama kumbe hawako Salama , na madhara yake yanaweza yakawa makubwa .
Uchumi bila afya bora hauna maana yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app