The Iron JF-Expert Member Joined Apr 7, 2017 Posts 1,396 Reaction score 1,464 Apr 28, 2020 #121 No new cases......labda wameona kutangaza cases mpya hakuna faida zaidi ya kuongeza taharuki kwa raia na kupokea critics nyingi
No new cases......labda wameona kutangaza cases mpya hakuna faida zaidi ya kuongeza taharuki kwa raia na kupokea critics nyingi
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Apr 28, 2020 Thread starter #122 Mgwebe said: No new cases......labda wameona kutangaza cases mpya hakuna faida zaidi ya kuongeza taharuki kwa raia na kupokea critics nyingi Click to expand... Zito Kabwe kimya kabisa juu ya hili.
Mgwebe said: No new cases......labda wameona kutangaza cases mpya hakuna faida zaidi ya kuongeza taharuki kwa raia na kupokea critics nyingi Click to expand... Zito Kabwe kimya kabisa juu ya hili.
logframe JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,242 Reaction score 5,543 May 7, 2020 #123 ngichinwe said: Huu ugonjwa ni kama mimba ..utaficha weeee ila mwisho wa siku kila kitu utaweka hadharani mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kabisa..... Sent using Jamii Forums mobile app
ngichinwe said: Huu ugonjwa ni kama mimba ..utaficha weeee ila mwisho wa siku kila kitu utaweka hadharani mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kabisa..... Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 May 7, 2020 Thread starter #124 logframe said: Kabisa..... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bila shaka tumeshaushinda. Ila majuzi niliona town ace imebeba maiti huku gari moja kati ya zile zilizotengwa kupambana na Corona ikiongoza msafara kuelekea makaburini. Soo sad
logframe said: Kabisa..... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bila shaka tumeshaushinda. Ila majuzi niliona town ace imebeba maiti huku gari moja kati ya zile zilizotengwa kupambana na Corona ikiongoza msafara kuelekea makaburini. Soo sad