Tangu jana nashindwa kupakua kwenye WhatsApp file aina ya word, pdf na excel

tamsana

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,739
Reaction score
8,044
Wataalam habari ya majukumu.
When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later".
Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube na google bila mafanikio. Hatua ya mwisho kabisa nime reinstall app lakini bado changamoto iko pale pale.
Kama kuna mdau ameshawahi kufix changamoto kama hiyo naomba mbinu tafadhali.
Natumia Samsung A14.
Ujumbe ninaoupata ni kama unavyoonekana kwenye picha hapa chichi.
1000170747.jpg
 
Pole sana karibu Telegram.
Jaribu ku clear cache, uone af jaribu kulitafuta hilo file kwenye folder la documents kwenye file manager kama kweli haija ji download.
 
Yani njia zote hizo nimefanya hakuna matokeo. Telegram natumia ila si unajua WhatsApp ndio ina wadau wengi kila mahali. Mengine yote yanafanya kazi vizuri isipokuwa file la pdf, word ba excel.
 
Ni kweli ila whatsapp ina matatizo km hayo ya baadhi ya file kuzuiliwa hata kushindwa kupakua file.
Kama walivyopendekeza wanajf tumia Telegram hautajuta.
 
Telegram ninayo, changamoto watumiaji wachache. Mawasiliano mengi ya watu ninaochangamana nao wanatumia zaidi WhatsApp
 
Ni sawa. Hata mimi nina watumiaji wengi wa whatsapp ila akitaka kunitumia file au nimtumie namwambia anitumie kupitia telegram.
Muda huu nimetoka kutuma file kwa telegram
 
Back
Top Bottom