Yani njia zote hizo nimefanya hakuna matokeo. Telegram natumia ila si unajua WhatsApp ndio ina wadau wengi kila mahali. Mengine yote yanafanya kazi vizuri isipokuwa file la pdf, word ba excel.Pole sana karibu Telegram.
Jaribu ku clear cache, uone af jaribu kulitafuta hilo file kwenye folder la documents kwenye file manager kama kweli haija ji download.
Ni kweli ila whatsapp ina matatizo km hayo ya baadhi ya file kuzuiliwa hata kushindwa kupakua file.Yani njia zote hizo nimefanya hakuna matokeo. Telegram natumia ila si unajua WhatsApp ndio ina wadau wengi kila mahali. Mengine yote yanafanya kazi vizuri isipokuwa file la pdf, word ba excel.
Telegram ninayo, changamoto watumiaji wachache. Mawasiliano mengi ya watu ninaochangamana nao wanatumia zaidi WhatsAppNi kweli ila whatsapp ina matatizo km hayo ya baadhi ya file kuzuiliwa hata kushindwa kupakua file.
Kama walivyopendekeza wanajf tumia Telegram hautajuta.
Ni sawa. Hata mimi nina watumiaji wengi wa whatsapp ila akitaka kunitumia file au nimtumie namwambia anitumie kupitia telegram.Telegram ninayo, changamoto watumiaji wachache. Mawasiliano mengi ya watu ninaochangamana nao wanatumia zaidi WhatsApp