Tangu lini mitihani ya form 2 ikalinganishwa na mitihani ya form 4 ? Wananchi tumieni akili

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.

Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo wanayanga waliodai wydad Haina Cha tofauti ni kama TU Simba SC kiuwezo, lengo likiwa ni kuwazuia wanamsimbazi wasisherehekee ushindi wao.

Means Simba SC = Wydad Casablanca



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu mwamba ameandika..."Magoli mawili shirikisho ni sawa na shot on target moja klabu bingwa Afrika"...!Watu wana maneno ya kukatisha tamaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…