Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ndugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca.
Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja alipasuliwa 3 kavu akiwa nyumbani.
Tuachane na hayo kusema ukweli mechi ya hawa vibonde ndio mechi mbovu kuwahi kuchezwa kwenye mashindano ya CAF tangu dunia iumbwe full stop.