Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Leo kibu denis aligeuka hazard vibonde 1:0 vibonde pro[emoji1787][emoji1787] kunywa panadol kaka maumivu yatapoa
Mzamiru aligeuka kuwa ngolo kante vibonde 1:0 vibonde proUsisahau pia kunywa maji mengi
Vibonde 0 : 1 viazi fcNa matokeo hukuyatarajia. [emoji23][emoji23] Vumilia, au iliingizwa kwa nguvu?!
Horoya sio vibonde wenzenu shehe.. ndio maana waliwala kimoja cha nguruwe na wanauwezo wakuwala tena mkizembea maana nyie ni vibonde.Mnaongea sana. Angalia ile Horoya mliyosema mbovu anavyopambana huko Casablanca. Mnadhani rede hii.
Jifunze kuandika kwanza ndugu inaonekana we ni kibonde kila nyanja.Unajifunguliq humu au st mary stadium sio kwq uchungu huo
Uchungu uanao wewe babraa gonzalezMleta Uzi pole walikosea wakakuwekea drip ya ku induce labour. Vumilia huo uchungu
Uchungu unao wewe babra gonzalezUchungu zaidi unaupata hasa unapoona gari la simba limewaka huku la utopolo likiendeleza aibu ya ugenini keaho
Pole kijana, matokeo yamekuumiza hadi umeanzisha uzi kifala 🤣🤣🤣Ndugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca.
Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja alipasuliwa 3 kavu akiwa nyumbani.
Tuachane na hayo kusema ukweli mechi ya hawa vibonde ndio mechi mbovu kuwahi kuchezwa kwenye mashindano ya CAF tangu dunia iumbwe full stop.
Kama kushinda away ni rahisi kashinde away Kwa Bamako kesho kwenye kombe la losers wa champions league,Kisha urudi hapa kutuandikia ugoroNdugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca.
Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja alipasuliwa 3 kavu akiwa nyumbani.
Tuachane na hayo kusema ukweli mechi ya hawa vibonde ndio mechi mbovu kuwahi kuchezwa kwenye mashindano ya CAF tangu dunia iumbwe full stop.
Matusi rukhsa