King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia kwenu wana JF,
Ukisikiliza wimbo wa Qchief I'm a dreamer, kuna mstari unasema "Tangu mdogo Nilikuwa na Ndoto kuishi kitajiri Kama John Kaboko hata mbuyu ulianza kama mchicha Nina imani nami nitafika"
Swali langu ni nani huyu "John Kaboko"? Kama ni Tajiri Kama Q-Chief alivyosema mbona hasikiki kabisa?