Tangu mdogo nilikuwa na Ndoto kuishi kitajiri kama "John Kaboko"

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu wana JF,

Ukisikiliza wimbo wa Qchief I'm a dreamer, kuna mstari unasema "Tangu mdogo Nilikuwa na Ndoto kuishi kitajiri Kama John Kaboko hata mbuyu ulianza kama mchicha Nina imani nami nitafika"

Swali langu ni nani huyu "John Kaboko"? Kama ni Tajiri Kama Q-Chief alivyosema mbona hasikiki kabisa?
 
Huyu jamaa ana kipaji sana umenikumbusha huo wimbo naupenda sana!

Speaking of John koboko pengine kweli ni tajiri lakini hasikiki kama ambavyo Arusha kuna mabillionaire wengi ambao husikika na kujulikana na kuitwa mabillionaire wanapo kufa!

Sijui kwanini q chillar huyu kwenye hii nyimbo simuoni tena!
 
Yap wimbo Mzuri sana,qchilla amerudi tena na For you,kumbe John kaboko ni bilionea wa arusha?
 
am on my way through kweny thread ya mzee ojwang..karibun tukatoe R.I.Ps zetu..?!
 
kwakua kutoa R.I.P in moyo,basi the more unamtakia marehemu rip(s),the more,God's will around him..?!otherwise:amani iwe nawe.....
 
kwakua kutoa R.I.P in moyo,basi the more unamtakia marehemu rip(s),the more,God's will around him..?!otherwise:amani iwe nawe.....

Imeandikwa kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe keshen mkiomba kwan hamjui mwaka wala mwezi kumuombea marehem ni upuuzi tu
 
aseee!! ndo kusema kwamba unataka kugundua imani ako bila kutumia pesa..imani gani haiombei wafu!!otherwise keep it up..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…