Huu ni msimu wa nane Simba na Yanga hakuna anayeibuka na ushindi duru ya Kwanza tangu msimu tajwa. Pengine Msimu huu mwiko huo unaweza kuvunjwa wacha tusubiri hiyo Jumapili ya Novemba 5 kama kuna timu itaibuka na ushindi. Mara zote mechi hiyo huisha kwa sare ama suluhu hata kama timu mojawapo ina kikosi kikali. Kwa msimu huu inaonekana vikosi vya timu zote viko sawa sawa.
Je ni Simba au Yanga kuibuka kidedea au bado mzimu wa sare utaendelea? Muda utasema
Je ni Simba au Yanga kuibuka kidedea au bado mzimu wa sare utaendelea? Muda utasema