Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,627 Reaction score 38,689 Sep 23, 2018 #1 Tangu mwaka 1977 Huu ndio mwaka kilichotengenezwa kinywaji bora zaidi duniani Hakika hakuna bia kama safari,bia imeivaa sana itakua inapikwa na mwanamke
Tangu mwaka 1977 Huu ndio mwaka kilichotengenezwa kinywaji bora zaidi duniani Hakika hakuna bia kama safari,bia imeivaa sana itakua inapikwa na mwanamke
masara JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,738 Reaction score 2,282 Sep 23, 2018 #2 Kama nakuona kama unaagaza ili umuite muhudumu
T the glassroof JF-Expert Member Joined Apr 25, 2017 Posts 293 Reaction score 448 Sep 23, 2018 #3 Hivi huu mwaka ndo ule kilizaliwa chama kile mpaka leo wanapeta. Napenda sana Safari visije kuwa na uhusiano.
Hivi huu mwaka ndo ule kilizaliwa chama kile mpaka leo wanapeta. Napenda sana Safari visije kuwa na uhusiano.
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,225 Reaction score 5,055 Sep 23, 2018 #4 Wanatengenezaga wakiwa uchi itakua!
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Sep 23, 2018 #5 siku hz wanakunywa balimi
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,587 Reaction score 7,272 Sep 23, 2018 #6 naskia wanywa safari wengi ndio walihamia kwenye unywaji wa viroba na ndio haohao kwa sasa ni wanywaji wa balimi na vitoko 😂
naskia wanywa safari wengi ndio walihamia kwenye unywaji wa viroba na ndio haohao kwa sasa ni wanywaji wa balimi na vitoko 😂
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Sep 23, 2018 #7 aaah me nikinywa zangu komoni,chimpumu, zinatoshaa