Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Tangu nijiunge na Jf nimekuwa nikivutiwa sana na wewe
1.Vituko vyako

2.Kujiamini kwako

3.Tabasamu lako😁

4.Wa kishua(umekaa kimjinimjini)

5.Hutaki nginjangija(unajikubali sana)

6.Avatar yako unaonekana ni bonge la totoz na hizo nywele zako za asili nyeusi tiiii

7.Kiukweli usipocomment chochote jf siku yangu inakuwa mbaya sana

8.Nimeamua kuwa mkweli maana kuna mabinti wamenifata PM labda niwaambie tu jamani moyo wangu upo kwa Seran nisiwapotezee muda mtapata wanaowapenda

9.Nitatumia gharama yoyote kumpata Seran

10.Nitamlinda Seran kwa gharama yeyote najua mtamuonea wivu ila niwahakikishie amepata mtu sahihi
Welcoming!!!!!!!!!
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
ngoj kwanza tumuulize anasemaje yeye,, Seran je uko tayali sisy? 🤭😅
 
Mganga wa seran apewe bima tena NHIF haishi miak ming
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…