Tangu nimejifungua nasumbuliwa na maumivu ya kinena na mishipa msaada jamani

beeper

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
253
Reaction score
106
Habari wadau , mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mishipa ya kinena tangu alipojifungua je tatizo ni nini wadau manake kila Mara asubuhi ya alfajiri inamsumbua

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ana muda gani tangu ajifungue?
Kwanini msirudi hospital wamchek
 
Ana miezi mitatu sasa tangu ajifungue

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa kingereza au ? Kama hukijui pita

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kuna vitu muhimu kujua kabla ya ushaur

mkeo anaumri gani? ni uzazi wake wa ngapi? ni njia gani ilitumika wakat wa kujifungua?
 
Habari wadau , mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mishipa ya kinena tangu alipojifungua je tatizo ni nini wadau manake kila Mara asubuhi ya alfajiri inamsumbua

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mi pia nlipata tatizo km hilo nlivyifungua nkaenda hospital HURBERT KAIRUKI wakanifanyia ultra sound wakanambia niko safi ila uchafu wa kawaidakm fungus au UTI nkapewa septrin,panadol nimesahau zingine ila nkaambiwe niwe nakunywa sana maji
 
Kinena ni UKE au kwa lugha ya MUJINI ni K. Mkuu umeshajaribu kuwaona wataalamu wa magonjwa ya kina mama ili wawasaidie wewe na mkeo kutibu hali hii? Poleni sana.

samahani kinena ni nini?
 
Ni vyema ukaonana na Daktari wa magonjwa ya Wanawake. Kama uko dar nenda Hospitali ya Sinza Palestina kuna Doctor anaitwa Mboya atakusaidia.
 
Kinena ni UKE au kwa lugha ya MUJINI ni K. Mkuu umeshajaribu kuwaona wataalamu wa magonjwa ya kina mama ili wawasaidie wewe na mkeo kutibu hali hii? Poleni sana.

Nashukuru Bak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…