Tangu nimepiga chini kazi, sasa rasmi nafurahia maisha na nimeanza kuishi kwa amani na uhuru

Usijekurudi hapa na majuto ya kuacha kazi

Elimu dunia imetuharibu sana ubongo, tuna mahitaji tofauti ila cha ajabu tunatumia mbinu zinazofanana kuyatimiza.... Nita ishi kwa namna nyingine na hata kama ni kazi nitafanya ile itayoniruhusu kuishi nitakavyo.

Siamini kuja kuwa tajiri, hivyo nitaishi kutimiza mahitaji yangu ya msingi tu.... katika namna rahisi na ya uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…