1998Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Umezaliwa lini ? Yanga amechexa 1998...Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Umewahi kumsikia mtu aitwaye Tito Mwaluvanda?Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Ndo timu ya kwanza kufika hatua hiyo kwa Tanzania ktk maahindano ya Klabu bingwaKumbe nikiwa na miaka 3,nikadhani nikiwa nimevunja ungo
Women belong to the kichenAliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Punguza wivu.Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Unaambiwa ile njemba ya Wydad yule Msenegal toka amezaliwa December 1998, hadi amekuwa kijeba na kusukumana na kina Onyango hadi amefikia kuifunga Simba, Yanga hajakanyaga makundi.Kumbe nikiwa na miaka 3,nikadhani nikiwa nimevunja ungo
Utakuwa ni mdogo sana.Mwaka 1998 robo finally zilikuwa timu 8 zilikuwa zinagawanywa makundi 2.Timu mbili za juu zinacheza nusu fainali na washindi wa hizo mechi home and away zinacheza finally.Yanga alicheza robo finally,alikuwa na Raja Casablanca na wengineo.Wachezaji wa Yanga nakumbuka,Shaaban Ramadan,Ken Mkapa,Monja Lisek na wengineo.Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Iwe kweli au siyo kweliAliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
AaahhaaaSome teams are made for losers cup.
Nyie wanyoa VIDUKU na kuvaa vinjunga mbele ya mama zenu mnashida sana watoto wa 2000 kuja juuAliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
25yrs ago1998
Tukumbushe mkuu alichezea ngapi..,Utakuwa ni mdogo sana.Mwaka 1998 robo finally zilikuwa timu 8 zilikuwa zinagawanywa makundi 2.Timu mbili za juu zinacheza nusu fainali na washindi wa hizo mechi home and away zinacheza finally.Yanga alicheza robo finally,alikuwa na Raja Casablanca na wengineo.Wachezaji wa Yanga nakumbuka,Shaaban Ramadan,Ken Mkapa,Monja Lisek na wengineo.
Ndio Manisha.Kumbe nikiwa na miaka 3,nikadhani nikiwa nimevunja ungo