The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Yeeerrreeehhh!
May 2021 Hamas walianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel.
Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi vinalipuka na wanaosalia kubaki kulialia hovyohovyo ooh wateule wanaua wanawake na watoto.
Baadaye watu wakaanza kuandamana na kuilaani taifa teule ambapo hawajui ukiilaani Israel na wewe pia unalaaniwa naam ukiibariki faster utaendelea kubarikiwa.
Wakati huo Paul Pogba na huyu dogo muaivorikost Amad Diallo walikuwa wanaichezea Manchester united baada ya mechi wakabaki pekee yao uwanjani wakati wenzao walishatangulia changing room wakiiperusha bendera ya kigaidi ya Palestine huku wakilaani taifa teule.
Watu walikuja juu na kukasirika kwasababu sheria za FIFA haziruhusu mambo ya kisiasa na sifa za kijinga kama hizi.
Cha kushangaza kocha wa Mani wakati huo Solskjaer hakulaani kitendo hicho bali aliwaunga mkono na kuwalinda naye laana ikamfuata akafukuzwa.
Sasa mnajuwa kilichowatokea Pogba sasa hivi hana muelekeo kafungiwa kwa kutafuna madawa ya kulevya. Asikilizani na ndugu zake.
Huyu dogo Diallo kiwango chake cha mpira kimeshuka kako benchi tu huko kanaozea. Kwisha kabisa.
Yote haya ni laana.
Ukiilaani Israel utalaaniwa naam ukiibariki Israel utabarikiwa.
Nyau de adriz