Tangu Samia awe Rais - TEC, vyombo vya kimataifa, Marekani, umoja wa Ulaya, Ghana, n,k vimevunja rekodi kuikosoa serikali yetu, WHO ARE THEY ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Juzi Rais wetu alisema tangu awe Rais TEC wamemtolea matamko mengi

Nimsaidie Rais wetu kuna zaidi ya hapo, Umoja wa ulaya, Balozi za nchi za Ulaya, Vyombo vya habari vya kimataifa, seneti ya Marekani, Umoja wa mataifa mpaka nchi za Afrika kuanzia Kenya, Ghana na Botswana wamekuwa wakitoa matamko, habari na maudhui ya kutukososoa.

WHO ARE THEY ?

Nchi yetu tunaonewa wivu.
 
Ni kweli si unaona wazungu wamewateka watanzania wenzetu

Wazungu ni watu wabaya sana si unaona tarehe 29 , waliua kikatili vijana wa kitanzania na wakawapeleka majeruhi mochwari Ili wafie huku

Wazungu ni wakatili sana maana wametoa tamko nguvu iliyotumika kuua ni sahihi kabisa

Au unasemaje mtoa mada
 
Wauwaji nyie
 
Who is samia mpaka ashindane na wananchi milion 60? Na kuwatawala kimabavu kwa kuwaua?
 
Upo sahihi TEC na nchi za magharibi waache chokochoko pesa zao zenyewe wanazotupa chache tu,tunaweza warudishia vilevile.

Shekhe Abdul nishaongea.
Kweli mkuu na Sisi kama Serikali tunaangalia utaratibu uapte Telescope uwe unachungulia Mwezi hasa kipindi cha Ramadhani na Tukuondoleee Ushuru wa Tende!!
 

Sababu uovu umekithiri kwenye ardhi ya Tanganyika sababu ya Fisadi, Muuaji, Shetani Mmoja na mtoto wake Samia.

Hata Sodoma na Gomora zinasubiri wanateka ili kutesa watu, kuwabaka, kuwalawiti kuwafanya vilema au kuwepeleka mochwari wakiwa hai.
 
Daaaaa machawa wabaya sanaaa.....washauri wabaya sanaa...JK mbaya sanaaa.......yoote kashauri kiburi cha watawala Africa ila kuua kizazi hiki cha mtandao .....ndio kosa kubwaa....JK anacheeka kwa palerr lengo Riz1 kuwa mgombea pekee 2030 litatimia ??, MoU kati Jk na Saa 100 itatimia??? ...
 
Mabeberu yanatuonea wivu.

Donge limewakwama wanaumia kuona jinsi nchi yetu inavyopaa kwa kasi na kupiga gia za angani kama Ronaldo.

Wanatubagaza, wanatubananga na kututindinganya lakini tunasonga mbele katika kazi na utu.
 
Nchi yangu inapitia wakati Mgumu sana ila itavuka asema Bwana , Mungu wangu alipokua ananisitiza kwamba mwaka huu hakuna uchaguzi, kuna kipindi nilikuwa nawaza ni ndoto au la ,sasa nimemuona Mungu wangu ni mwaminfu, hakuna ambacho ameniambia sijakiona ,nitakupenda Mungu wangu usiku na mchana mpaka naingia kaburini, hata sasa unayoniambia nayachukulia kwa uzito mkubwa sana,

Siku moja ukaniambia wapende sana wanao ipo siku watakuacha mpweke nikasema ni ndoto ,kweli wameniacha mpweke na katoto kamoja .

Ila uniambia utanipa faraja siku za usoni , OK wewe ndie ,na alie na atakae kuwa ,jina lako ni kuu sana Bwana,Amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…