Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

messi atabakia kuwa messi

maradona atabakia kuwa maradona.wanaojua wanajua tu. Wamebarikiwa na Mungu.
 
Mimi bado sijawahi kuona mchezaji kama Messi.
 
Reactions: PNC
Mimi bado sijawahi kuona mchezaji kama Messi.


Katika maisha yangu sijawahi kumuona mchezaji mwenye kiwango, mwonekano na umri mdogo kama messi,
Messi ni mchezaji wa ajabu mno jamani.kaushangaza ulimwengu ndani ya muda mfupi mno tofauti ukilinganisha na wachezaji wa sasa na wale wa zamani,messi ni miracles from God.
mes na maradona ndio wakali wa soka duniani, lakn mes ni zaidi,mes kitu ingine kishavunja rekodi za wote na bado anaendelea kupasua na umri bado unadai.

Cheki hapa,hili lijamaa linatisha

Barcelona
La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16
Copa del Rey: 2008–09, 2011–12, 2014–15, 2015–16
Supercopa de España: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016

UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11, 2014–15

UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015

FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015[408]

International
FIFA World Youth Championship: 2005

Olympic Gold Medal: 2008

Individual
Awards
Ballon d'Or: 2009[409]

FIFA World Player of the Year: 2009[409]

UEFA Club Footballer of the Year: 2009[410]

UEFA Club Forward of the Year: 2009[410]

FIFA Ballon d'Or: 2010, 2011, 2012, 2015[409]

IFFHS World's Best Top Goalscorer: 2011, 2012[411]

IFFHS World's Best Top Division Goalscorer: 2012, 2013[411]

IFFHS World's Best Playmaker: 2015[412]

UEFA Best Player in Europe: 2011, 2015[191]

European Golden Shoe: 2010, 2012, 2013[150]

La Liga Best Player: 2009, 2010, 2011, 2012,2013, 2015[413][414][415]

La Liga Best Forward: 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015[413][414][415]

La Liga Player of the Month: January 2016[416]

Olimpia de Plata (Argentine Footballer of the Year): 2005, 2007, 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015[413][417]

Olimpia de Oro (Argentine Sportsperson of the Year): 2011[413]

FIFA Club World Cup Golden Ball: 2009, 2011[418]

FIFA Club World Cup Silver Ball: 2015[419]

FIFA World Cup Golden Ball: 2014[420]

Copa América Most Valuable Player: 2015 (rejected)[283]

FIFA FIFPro World XI: 2007, 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2014, 2015[421][422]

UEFA Team of the Year: 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2014, 2015[410][423]

La Liga Team of the Year: 2015[424]

AFA Team of All Time (published 2015)[425]

FIFA World Cup Dream Team: 2014[426]

Copa América Dream Team: 2007, 2011, 2015, 2016[427][428][429][300]

UEFA Goal of the Year: 2007[413]

UEFA Goal of the Season: 2014–15, 2015–16[186][430]

Copa América Best Goal: 2007[431][432]

FIFPro Young World Player of the Year: 2006, 2007, 2008[421]

Golden Boy (Young European Footballer of the Year): 2005[48]

FIFA World Youth Championship Golden Ball: 2005[433]

FIFA World Youth Championship Golden Shoe: 2005[433]

Copa América Best Young Player: 2007[421]

La Liga top goalscorer: 2009–10, 2011–12, 2012–13[434]

La Liga top assist provider: 2010–11, 2014–15, 2015–16[435]

Copa del Rey top goalscorer: 2008–09, 2010–11, 2013–14, 2015–16[436]

UEFA Champions League top goalscorer: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2014–15[437]

UEFA Champions League top assist provider: 2011–12, 2014–15[438]

FIFA Club World Cup top goalscorer: 2011[439]

FIFA World Youth Championship top goalscorer: 2005[221]

Copa América top assist provider: 2011, 2015, 2016[428][440][441]

Records
As of 21 June 2016
Most FIFA Ballons d'Or: 5 (2009–12, 2015)[note 4][442]

Most consecutive FIFA Ballons d'Or: 4[443]

Youngest two-time and three-time FIFA Ballon d'Or winner: 23 and 24 years old[443]

Most UEFA Best Player in Europe awards: 3 (2009, 2011, 2015) [191][note4][444]

Most La Liga Best Player awards: 6 (2009–13, 2015)[note 4][445]

Top goalscorer in La Liga: 316 goals[446]

Top assist provider in La Liga: 130 assists[note 3][180][181]

Top goalscorer in the Supercopa de España: 12 goals[258]

Top goalscorer in El Clásico: 21 goals[158]

Top goalscorer in the Derbi barceloní: 16 goals[167]

Top goalscorer in the UEFA Super Cup: 3 goals[447]

Top goalscorer in the FIFA Club World Cup: 5 goals[448]

Top goalscorer for club and country in a calendar year: 91 goals in 2012[449]

Top goalscorer in all club competitions in a calendar year: 79 goals in 2012[132][134]

Top goalscorer in all club competitions in a season: 73 goals in 2011–12[449][258]

Longest goalscoring run in a domestic league: 21 matches, 33 goals in 2012–13[148][147]

Top goalscorer in a La Liga season: 50 goals in 2011–12[450]

Most hat-tricks scored in a La Liga season: 8 in 2011–12[258]

Only player to score consecutively against all opposition teams in La Liga: 19 matches, 30 goals in 2012–13[141]

Only player to have won more than one FIFA Club World Cup Golden Ball.[451]

Youngest player to score 200 goals in La Liga: 25 years in 2013[452]

Only player to be top goalscorer in five UEFA Champions League seasons (2008–09 to 2011–12, 2014–15)[189][190]

Only player to be top goalscorer in four consecutive UEFA Champions League seasons[258]

Most hat-tricks scored in the UEFA Champions League: 6[453]

Most goals scored in a UEFA Champions League match: 5 in 2012[454]

Youngest player to make 100 appearances in the UEFA Champions League: 28 years, 84 days in 2015[455]

Most titles won with Barcelona: 29[456]

Top goalscorer for Barcelona in official competitions: 461 goals[457]

Top goalscorer for Barcelona including friendlies: 492 goals[457]

Top goalscorer for Barcelona in the UEFA Champions League: 86 goals[457]

Most hat-tricks scored in all competitions by a Barcelona player: 36[178]

Most hat-tricks scored in La Liga by a Barcelona player: 26[458]

Only Barcelona player to be top goalscorer in three La Liga seasons (2009–10, 2011–12, 2012–13)[457]

All-time top assist provider in Copa América: 11 assists[459]

Argentina all-time top goalscorer: 56 goals[460][461][462]

Top goalscorer for Argentina in a calendar year: 12 goals in 2012[258]

Youngest player to play for Argentina in a FIFA

World Cup: 18 years, 357 days in 2006[228]

Youngest player to score for Argentina in a FIFA World Cup: 18 years, 357 days in 2006[228]

Youngest player to reach 100 caps for a country under CONMEBOL's jurisdiction: 27 years, 361 days in 2015[463]


Je atatokea mchezaji mwenye kiwango like messi na kuzivunja rekodi zke? NO NO NO, hatatokea. isipokua watakuja wengine tu lakini hawatofanana like profesa mes.
 
Reactions: PNC
kwa messi ana world cup or copa america trophy ngapi ?
 
At the age of 17 scored his first goal,
At the age of 19 scored the similar gaol which Armando scored at the age of 26,

At the age of 19 scored hat trick in El Clasico in 10men barca,

First balon dor at the age of 22
Wakumfikia maradona yupo na ndo Messi ila wa kumfikia Messi hatakuja kutokea kwenye generation hii
 
CR 7 ana record za ajabu Sana. Kabeba UERO na UEFA SUPER CUP Pasi na yeye kucheza na Sifa zote kapewa yeye.
-Kupiga hat tricks timu mbovu ni nyingi Sana.
NATAMANI CR 7 angecheza na timu Za South America .
 
kwa messi ana world cup or copa america trophy ngapi ?

Kaka Ngamiani Kinachosemwa hapa ni player Skills na sio rekodi.FIFA U-20 World Cup 2005 anayo, Olympic Games,
Gold medal anayo.

Kuhusu recodi mesi kaishavunja almost all records isipokua copa A,na World cup ya wakubwa, na yenyewe ipo on the way inakuja kaka.
Kama ni copa amerika na w/c hata wachezaji wa viwango vya kawaida kama akina gaucho,sanchez,vidal,xavi,kaka,henry na fabregas wanayo. Copa A na w/c haimzuii mchezaji kua best player.

Mleta uzi jibu langu ni hivi'kwanzia soka lianze kuchezwa hadi this time navyoongea'binafsi hakuna aliyefikia kiwango kwa Diego na Messi,hata kwenye similar goals wamefanana sana,ni kitu ambacho hakijawahi kutokea and it will not happen to any player.and the final answer messi ndie baba wa soka duniani.
 
Uongo huu mnajidanganya
 
Unajua maana ya IFFHS?
hyo ndo agency ya FIFA inayoshughulika na statistics
kura ni mapenzi ya waliopiga kura
lakin takwimu hazidanganyi

Mkuu mbona huyu BlackPanther anajiona yeye ndiye anajua soka kuliko watu wote? Maana nafuatilia michango yake anabeza kila mtu anayekwenda kinyume na Messi na Maradona.
 
Mkuu mbona huyu BlackPanther anajiona yeye ndiye anajua soka kuliko watu wote? Maana nafuatilia michango yake anabeza kila mtu anayekwenda kinyume na Messi na Maradona.
Sizani kama anajiona ila yupo sahihi kabisa[emoji4]
 
Mkuu mbona huyu BlackPanther anajiona yeye ndiye anajua soka kuliko watu wote? Maana nafuatilia michango yake anabeza kila mtu anayekwenda kinyume na Messi na Maradona.

😀😀mkuu mij mbona unanionea ndugu! Mimi sijioni, na wala sio mtaalam, wapo wengi tu humu wanaolijua soka zaidi yangu mimi, pengine hata wewe umenizidi mbali tu mkuu! Kuhusu messi na maradona kila mmoja na maono yake, hakuna anaemlazimisha mwenzie....kwangu mimi nitaendelea kuamini/kuwakubali Messi, maradona, Zidane na Requelme.....hivyo kila mmoja na mawazo yake, kwako wewe utaendelea kuamini /kuwakubali pele n.k unaowajua, pia isije ikawa mimi ndiye sababu ya wewe uamini nachokiamini mimi, binafsi Sina sababu ya kumlazimisha au kumfanya Mdau/anybody aamini nachokiamini mimi kuhusu nani bora wakati kila mtu na mawazo yake na akili zake alizoumbwa...so endelea tu kuamini kile unachoamini wewe ndugu na mimi nitaendelea kuamini kile nachoamini mimi.....

Ahsanta!


FIFA Player of the Century
This article is about FIFA Player of the Century. For FIFA Female Player of the Century, see FIFA Female Player of the Century.


Five years after the award; winners Maradona and Pelé exchange national team shirts.
FIFA Player of the Century was a one-off award created by FIFA to decide the greatest football player of the 20th century. Diego Maradona and Pele were joint winners of the award.[1][2] Maradona won the award based on the Internet poll, while Pelé won the award based on votes from FIFA officials, journalists and coaches.[1][2]

Background Edit

Since 1991, FIFA have had awards for FIFA World Player of the Year and they decided to bring in the new millennium by conducting a public vote to decide the FIFA Player of the Century. This was to be decided by votes on their official website, their official magazine and a grand jury. Maradona won the Internet-based poll by wide margins, garnering 53.6% of the votes against 18.53% for Pelé.[3] Despite the fact that Eusébio, who played football professionally during Pelé's era, placed third in the poll, many observers complained that the Internet nature of the poll would have meant a skewed demographic of younger fans who would have seen Maradona play, but not Pelé. As a result, FIFA decided to add a second poll and appointed a "Football Family" committee composed of football journalists, officials and coaches, who voted Pelé the best player of the century with 72.75% of the vote, thus both were joint winners of the award.[4]

FIFA internet vote Edit
The results of FIFA's internet Poll were as follows:[5]

Player Nationality Percentage
1 Diego Maradona Argentina 53.6%
2 Pelé Brazil 18.53%
3 Eusébio Portugal 6.21%
4 Roberto Baggio Italy 5.42%
5 Romário Brazil 1.69%
6 Marco van Basten Netherlands 1.57%
7 Ronaldo Brazil 1.55%
8 Franz Beckenbauer Germany 1.50%
9 Zinedine Zidane France 1.34%
10 Rivaldo Brazil 1.19%
11 Zico Brazil 1.15%
12 Garrincha Brazil 1.08%
13 Johan Cruyff Netherlands 0.87%
14 Alfredo Di Stéfano Argentina 0.68%
15 Michel Platini France 0.58%
16 Bobby Charlton England 0.39%
17 Ferenc Puskás Hungary 0.37%
18 Lothar Matthäus Germany 0.37%
19 Lev Yashin Soviet Union 0.36%
20 George Best Northern Ireland 0.32%
FIFA Magazine and Grand Jury vote Edit
This part of the award was decided by the FIFA Magazine readers vote and the FIFA Grand Jury.[5]


Player Nationality Percentage
1 Pelé Brazil 72.75%
2 Alfredo Di Stéfano Argentina 9.75%
3 Diego Maradona Argentina 6.0%
4 Franz Beckenbauer Germany 2.5%
5 Johan Cruyff Netherlands 2.0%
George Best Northern Ireland 2.0%
7 Michel Platini France 1.0%
Garrincha Brazil 1.0%
Zico Brazil 1.0%
Gerd Müller Germany 1.0%
Roberto Baggio Italy 1.0%
FIFA Centennial Award Edit
FIFA Centennial Player and Football Personality.[6]

Winner Nationality
Franz Beckenbauer Germany
Pelé Brazil
IFFHS Edit
IFFHS gave out an award decided by votes which was conducted with the participation of journalists and former players (no further details given).[7]

Player Nationality Votes
1 Pelé Brazil 1705
2 Johan Cruyff Netherlands 1303
3 Franz Beckenbauer Germany 1228
4 Alfredo Di Stéfano Argentina 1215
5 Diego Maradona Argentina 1214
6 Ferenc Puskás Hungary 810
7 Michel Platini France 722
8 Garrincha Brazil 624
9 Eusébio Portugal 544
10 Bobby Charlton England 508
References Edit

^ a b Pele, Maradona split player of 20th century award. CBC News. Retrieved 13 March 2013
^ a b FIFA Player of the Century. touri.com
^ BBC SPORT | FOOTBALL | Pele sad at Maradona snub
^ "Pele, Maradona each win FIFA century awards after feud". CNN.
^ a b "FIFA Player of the Century" (PDF). touri.com. Retrieved 30 November 2010.
^ "Celebrations mark the opening of FIFA Centennial Congress in Paris, FIFA’s birthplace". FIFA.com. Retrieved 9 April 2013
^ "World - Player of the Century". RSSSF.com. Retrieved 9 April 2013


FIFA Player of the Century - Wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…