Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Sasa ww ndio hujaielewa mada au mleta mada.

Maana ukisoma vizuri utagundua aliyeleta mada kuna sehemu amazungumzia swala la magoli,ugumu wa mazingira waliyopitia,kuwepo au kutokuwepo kwa sheria uwanjani n.k
 
Mkuu kuna garrincha, ferenc puskas, Pele nascimento,zico na wengine wengi ...... ukiangalia zile classic videos za mechi zao utaona hawa jamaa hawana mfano mpaka sasa
Wakali wa jinga style, brazil haijawah poteza game hata moja pele na garrincha wakiwa ndani, ikachukua wc 1958,1962 n 1970, mwaka 1966 walifanyiwa uhuni na Europe walipgwa buti hizo hatarii na refa anapeta, wakamuumiza pele na brazil ikagoma kuendelea na mashindano na kujihusisha na michezo yote inayotambuliwa na fifa.. Hakika pele alikua ni balaa lingine kijana wa miaka 17 kufunga wc na kupiga hat trick fainali na sweeden, brazil ikshnda 5-1 had mwenyewe baada ya mchezo akazirai alikua haamin alicho kifanya akiwa kijana mdogo kabisaa wa miaka 17 kuitwa Nteam na kucheza WC na kuifungia team yake magoal muhimu kabisaa
 
Well said mkuu
 
Huju Jamaa munaemkuza na kumpa misifa je Hawajui km alikuwa anatu100 madawa Ya kuongeza nguvu?yule sio Bora kwani hawezi kucheza mpira bila u kula madawa Ya kuongeza nguvu.
Nadhani Kwangu Mm Kwa suala la kuwatoka watu.na kukimbia Na. Watu.au kijiji messi anaweza.sana Lkn siwezi kumpa best footballer kwani hana mchango Ktk timu Ya taifa.maradona nimemtoa Ktk list hii Kwa madawa.nafasi hii nampa zico.
2.kwa suala la kufunga Magoli na kucheka na nyavu bila kukukosa.hapa nampa Pele kwani Ktk club Na. Timu Ya taifa Jamaa yupo vizuri.kwa zama Hizi nampa Ronaldo delima.
3.kwa suala la control Na. Kuburudisha mpira uonekane mtaamu.nampa GAUCHO ,baadae nampa zizzou Na. Mwisho nampa huyu Wa Nigeria j.j okocha
4.Kwa goal keeping nadhani Oliver Khan ,yupo juu.na MWENGINE nampa yule Wa England jina lomenitoka.
5.Beki Bora nadhani huyu Canavaro Wa Italy.yupo vizuri.
 
Pele is so overrated.

Daima alizungukwa na wachezaji wenye vipaji sana hivyo akatumia nyota za wenzake kung'aa.

Mfano ni World Cup ya 1962 pale Chile, Pele aliumia mechi ya kwanza akarudi kucheza Fainali, Garrinch aliibeba timu kwenye mabega yake, na ndio maana haishangazi Garrincha alivyochaguliea mchezaji bora wa Michuano.

World Cup ya 1970, Brazil timu bora ya wakati wote ikiwa na Pele, Jairzinho ( Top scorer ), Tostao, Clodoaldo, Nahodha Carlos Alberto Torres inachukua World Cup lakini staa wa michuano anakuwa Jairzinho.

Kwa kuhitimisha, Pele alibebwa na wachezaji wenzake kuliko ilivyokiwa kwa Diego Armando Maradona, na ndio maana haishangazi hajawahi kutwaa hata mchezaji bora wa mashindani achilia mbali ufungaji bora.
 
Internet polling fake cause most pollers never saw Pele in action.

Maradona won the world cup only once while Pele three times. Messi knows he will never win a world cup.
Pele outscored both Maradona and Messi in world cup tournaments
 
Kama huesabii magoli bas hao ulowaongelea ni wa kawaida sana kwa kiumbe anaitwa gaucho, ronaldinho ni zawad kwa dunia ya soka toka kwa muumba wetu
Gaucho ndio alijua kuchezea mpira lakini uwezi kumlinganisha na messi,,Messi si mtu wa dunia hii..Yupo sayari nyingine kabisa..
 
Naunga hoja kwa asilimia zote,,,wewe unajua mpira "" hata kama ujawai kucheza lakini unaufahamu mpira
 


Mkuu kwema? Siku hizi nilishaacha mabishano.

Ila ntakuuliza kidogo! Je mchezaji akikutwa ametumia drugs nje ya uwanja je! ataruhusiwa kuingia uwanjani?

Ebu naomba huo ushahidi weka hapa mkuu tuone wote. Maana fifa sio wajinga na mashabiki kote duniani kama unavyokusudia wewe wakati kura zilishapigwa +pele na Diego akatoka na kidedea akijizolea 53.6% kwa 18.53% alizopata pele.

Soma hapa! Na link na kuwekea hapo chini ili uamini.....


Diego Maradona's blaugrana shirt at display in FC Barcelona Museum
Hounded for years by the press, Maradona once fired a compressed-air rifle at reporters who he claimed were invading his privacy. This quote from former teammate Jorge Valdano summarizes the feelings of many:

He is someone many people want to emulate, a controversial figure, loved, hated, who stirs great upheaval, especially in Argentina... Stressing his personal life is a mistake. Maradona has no peers inside the pitch, but he has turned his life into a show, and is now living a personal ordeal that should not be imitated.[104]

In 1990, the Konex Foundation from Argentina granted him the Diamond Konex Award, one of the most prestigious culture awards in Argentina, as the most important personality in Sports in the last decade in his country. In 2000, Maradona published his autobiography Yo Soy El Diego ("I am The Diego"), which became a bestseller in his home country.[105] Two years later, Maradona donated the Cuban royalties of his book to "the Cuban people and Fidel".[106]

Maradona at the Soccer Aid charity game at Old Trafford in May 2006, after losing weight
In 2000, he won FIFA Player of the Century award which was to be decided by votes on their official website, their official magazine and a grand jury. Maradona won the Internet-based poll, garnering 53.6% of the votes against 18.53% for Pelé.[107] In spite of this, and shortly before the ceremony, FIFA added a second award and appointed a "Football Family" committee composed of football journalists that also gave to Pelé the title of best player of the century to make it a draw. Maradona also came fifth in the vote of the IFFHS (International Federation of Football History and Statistics).[108] In 2001, the Argentine Football Association (AFA) asked FIFA for authorization to retire the jersey number 10 for Maradona. FIFA did not grant the request, even though Argentine officials have maintained that FIFA hinted that it would.[109]

Maradona has topped a number of fan polls, including a 2002 FIFA poll in which his second goal against England was chosen as the best goal ever scored in a World Cup; he also won the most votes in a poll to determine the All-Time Ultimate World Cup Team. On 22 March 2010, Maradona was chosen number 1 in The Greatest 10 World Cup players of all time by the London-based newspaper The Times.[110] Argentinos Juniors named its stadium after Maradona on 26 December 2003. In 2003, Maradona was employed by the Libyan footballer Al-Saadi Gaddafi, the third son of Colonel Muammar Gaddafi, as a "technical consultant", while Al-Saadi was playing for the Italian club, Perugia, which was playing in Serie A at the time.[111]


Maradona in Kolkata, India, in December 2008. Maradona laid the foundation stone for a football academy in the eastern suburbs of the city, and was greeted by over 100,000 fans in Salt Lake Stadium.[112]
On 22 June 2005, it was announced that Maradona would return to former club Boca Juniors as a sports vice president in charge of managing the First Division roster (after a disappointing 2004–05 season, which coincided with Boca's centenary).[113] His contract began 1 August 2005, and one of his first recommendations proved to be very effective: advising the club to hire Alfio Basile as the new coach. With Maradona fostering a close relationship with the players, Boca won the 2005 Apertura, the 2006 Clausura, the 2005 Copa Sudamericana and the 2005 Recopa Sudamericana.
On 15 August 2005, Maradona made his debut as host of a talk-variety show on Argentine television, La Noche del 10 ("The Night of the no. 10"). His main guest on opening night was Pelé; the two had a friendly chat, showing no signs of past differences. However, the show also included a cartoon villain with a clear physical resemblance to Pelé. In subsequent evenings, he led the ratings on all occasions but one. Most guests were drawn from the worlds of football and show business, including Ronaldo andZinedine Zidane, but also included interviews with other notable friends and personalities such as Cuban leader Fidel Castro and boxersRoberto Durán and Mike Tyson.[114] Maradona gave each of his guests a signed Argentina jersey, which Tyson wore when he arrived in Brazil, Argentina's biggest rivals.[115]

In May 2006, Maradona agreed to take part in UK's Soccer Aid (a program to raise money forUnicef).[116] In September 2006, Maradona, in his famous blue and white number 10, was the captain for Argentina in a three-day World Cup of Indoor Football tournament in Spain. On 26 August 2006, it was announced that Maradona was quitting his position in the club Boca Juniors because of disagreements with the AFA, who selected Alfio Basile to be the new coach of the Argentina national team.[117]In 2008, award-winning Serbian filmmakerEmir Kusturica made a documentary about Maradona's life, entitled Maradona.[118]

On 1 September 2014, Maradona, along with many current and former footballing stars, took part in the "Match for Peace", which was played at the Stadio Olimpico in Rome, with the proceeds being donated entirely to charity.[119] Maradona set up a goal forRoberto Baggio during the first half of the match, with a chipped through-ball over the defence with the outside of his left foot.[120]Unusually, both Baggio and Maradona wore the number 10 shirt, despite playing on the same team.[120] On 17 August 2015, Maradona visited Ali Bin Nasser, the Tunisian referee of the Argentina–England quarter-final match at the 1986 World Cup where Maradona scored his Hand of God, and paid tribute to him by giving him a signed Argentine jersey.[121][122]

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Diego_Maradona
I know that the Diego alifungiwa kucheza almost 3 years kucheza ball sababu ya drugs na before alifungiwa pia lakini si unavyokusudia wewe. kama ni hivyo basi ndani ya hiyo miaka mitatu tungemuona angeendelea kucheza na wala asingefungiwa wakati kuna vipimo vikubwa kwa wachezaji kabla ya kuingia uwanjani, inshort huyu mshkaji anachukiwa na baadhi ya mahaters kwa mafanikio yake + Messi. wawili hawa is wonders kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka na especially everything's wamefanana ndani ya uwanja, no doubt! ila The king messi is more hafananishwi na yeyote, hakuna alichobakiza. Bado mtasema hawa watu sio bora inapelekea inafananishwa na mijitu mijinga iliyobakia???
 

Mkuu Mussolin kula like kamanda wangu, Ahsante kwa kumfahamisha na amekuwelewa murua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…