Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Hanna chochote, hata lunyamila kawazidi hao wawili
 
Mheshimiwa ustazi Zitto zuberi kabwe! Na wewe umo humu? Umeachana na Siasa Mkuu?
 
Kwa uliowataja Gaucho anawatosha

Gaucho sio level yake wawili hawa. Gaucho level yake iniesta,Aguero,okocha nk. hata uwalete akina pele, zidane, de stephano,redondo bado sana kwa wafalme hawa Sembuse gaucho hata de lima tu kamfunika vibaya tu!
 
Gaucho yup unamuongelea mkuu...ile style yake ya uchezaj ya kuburudsha fans haitowai kutokea kamwe
 
Gaucho yup unamuongelea mkuu...ile style yake ya uchezaj ya kuburudsha fans haitowai kutokea kamwe

Ukiniambias kutikisa mitako nitakukubaria hakuna wakufanana na gaucho,,,,but 2kienda kwenye soka swafii na lenye ustaarabu na lakuvutia na kuziletea mafanikio timu zao,, BAC NI KING MEC NA KING DONAZ,, hakunaga na hawatatokea Kama hawa. labda baada ya miaka 1000,, Na huu mjadala ni heli ufikie tamati. Kwaheli mkuu.
 
Reactions: PNC
Zamani wakati WA kugombea uchezaji bora wa dunia bara au Nchi ilikua Sio rahisi kujua Nani atachukua zawadi hiyo maana mafundi walikuwa wengi Sana. Lkn kwasasa mshindi wa Barron de our Wala hakuna Shida kumjua mana duniA mzima wapo wawili tu. Yani mess na ronado hii unaonyesha kiwango cha mpira kimeshuka Sana .mess na ronado wanakuzwa na vyombo vya habari tu kwakua sasa mpira ni biashara na makampuni ya habari yako kibiashara zaidi. Lkn kwasasa mafundi ni wachache Sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hao hao mafundi unaowakusudia mzee. Wangelikuwepo wakina messi kipindi hicho wacngeliambulia chochote.Messi weka mbali na watoto,,hafananishwi na vitoto na watoto ata cku moja
 
Reactions: PNC
Hao hao mafundi unaowakusudia mzee. Wangelikuwepo wakina messi kipindi hicho wacngeliambulia chochote.Messi weka mbali na watoto,,hafananishwi na vitoto na watoto ata cku moja
hawa Messi and Cristiano Ronaldo wapo kizazi kisicho jua mpira ila wangecheza miaka ya 2002 kurud nyuma walikua wa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…