😂😂😂😂Ukishaona Ivo mtu ni bora uamue kiitwa padre itapendeza sanaTukiwa watoto pale mnazi mmoja primary school enzi za headteach Mzee Chalila
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Alikuwa bishororoWanawake walio wengi hawapendi wanaume wenye kuongea sana, bila staha.
Kipindi anasoma pia alikuwa muongeaji kama ilivyo sasa?
Kamdomo🤓Tatizo lipo kwenye tabia zake,
Kuhusu ulemavu wake hawezi kukosa mwanamke wa kumpenda.
Hatakiwi kuhukumiwa kwa rangi yake sababu hilo lipo nje ya uwezo wake.
If a woman told you that she had 'no feelings for you,' she was lying. Women don't have any feelings, they only care for money.Tukiwa watoto pale mnazi mmoja primary school enzi za headteach Mzee Chalila
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hakuna aliyeongelea ngozi, lnina narafiki albinos wengi,babu Sikare,nilisoma nae Dakawa,Wale akina Possi nimecheza nao utotoni na walikuwa na magirlfriend tena warembo no dramasTatizo lipo kwenye tabia zake,
Kuhusu ulemavu wake hawezi kukosa mwanamke wa kumpenda.
Hatakiwi kuhukumiwa kwa rangi yake sababu hilo lipo nje ya uwezo wake.
Hivi ni kweli au ni KIKI tu?Tukiwa watoto pale mnazi mmoja primary school enzi za headteach Mzee Chalila
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
📌📌📌Sahihi kabisa...Wanawake walio wengi hawapendi wanaume wenye kuongea sana, bila staha.
Kipindi anasoma pia alikuwa muongeaji kama ilivyo sasa?
Unadhani kuwa padre kwasababu umekataliwa na wanawake?😂😂😂😂Ukishaona Ivo mtu ni bora uamue kiitwa padre itapendeza sana
Trust me, wanawake wengi wanamhukumu kwa rangi yake, unamuona hv alivyo sasa ni kutokana ana jina tayari ndo mana anatoka na hao wanawake maarufu ila angekuwa kapuku kama sisi wengine ndo ungeona uhalisia namna anavyokataliwa na wanawake kisa rangi yake au angepata wanawake wa kawaida sana wa mtaani ila sio hao watu maarufu.Tatizo lipo kwenye tabia zake,
Kuhusu ulemavu wake hawezi kukosa mwanamke wa kumpenda.
Hatakiwi kuhukumiwa kwa rangi yake sababu hilo lipo nje ya uwezo wake.
Malezi yake yangeanzia akiwa bado Hana utambuzi sasa iwe wito sasa ashajua ni mjuaji sana kunampotezea baraka zingine ndio kama hivo hatulii kwenye mahusianoUn
Unadhani kuwa padre kwasababu umekataliwa na wanawake?
Unajua malezi yake yanaanzia miaka mingapi?
Marriege is business enzi na enziMan, stay with a woman who doesn't need your money.
The problem of this guy is dating with broke women , dumber and mediocre
Also Marriage is business