Tangu ubadilishe ushakutana inayozuia kwenda?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwanza nakupa hongera kwa kuuona mchana mwema huu wako wengi wanapigania roho zao
pale icu shaka umebahatika tu si kwa mema uliofanya
labda niende kwa wataalamu wa nyumba ndogo katika hili waweza kupata tatizo la kukimbilia
nyumba ndogo na kuacha familia yako najua mwisho wa siku ni kuzini...basi katika hili wakati ukitafuna
mfupa wa hiyo kuku ya kienyeji sijui ama ndio zile za wiki tatu aijalishi zote afya katika kubadilisha
mboga kama wasemavyo
 
Bebii

pole hii ni kwa wanaume wanaopiga nyumba ndogo ndio tunauliza tangu wameanza kuonja nje wakiwa wanapita kwenye lile litreni letu washawahi kutana inayozuia kwenda mi nimeona zote zinapitiliza nikaona ze same kwa nini watoke nje ya wake zao??
 
hapo penye kijani duuu!
 
Ishu cyo inayozuia kwenda ishu ni radha tofauti!!
 
Kwa kuwa sina nyumba ndogo sijajua hapa niseme nini

Good for you R'.... Mie nimejaribu kwa kila namna la kuchangia hata mimi nime blow mapigo... naona sababu nami sina nyumba ndogo...lolz
 
Back
Top Bottom