Bebii
pole hii ni kwa wanaume wanaopiga nyumba ndogo ndio tunauliza tangu wameanza kuonja nje wakiwa wanapita kwenye lile litreni letu washawahi kutana inayozuia kwenda mi nimeona zote zinapitiliza nikaona ze same kwa nini watoke nje ya wake zao??

Kwa kuwa sina nyumba ndogo sijajua hapa niseme nini