Tani 18.5 za dawa za kulevya zakamatwa, zilikuwa zinaingizwa kama mbolea

Wataachaje kuingiza madawa wakati mama yenu ameshajisalimisha kwa walanguzi? Nchi limekuwa ka kipumbavu hili!
 
Hii inchi awamu inayokuja tutailove show...watumishi hata mishahara wanaweza kosa....inarudi enzi za mwinyi...magendo kuolipa ushuru...drugs hub...silaha haramu madini haramu...
 
Mitragyna speciosa siyo dawa za kulevya kamishna kakurupuka tu
 
Kwani hawakuchangia harambee kama ni kweli wamezingua wasubiri kifungo tu
 
Ukiwaona walivyong'aa wamependeza kumbe ni pesa haramu inawapa kiburi hapa mjini😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…