Tani 76 za Rhodolite zataifishwa Tanzania (East Africa inajenga uchumi wake)

Tani 76 za Rhodolite zataifishwa Tanzania (East Africa inajenga uchumi wake)

Mzee wa Mtaa

Member
Joined
May 29, 2019
Posts
37
Reaction score
77
KUMEKUCHA EAST AFRICA



Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) katika vipindi tofauti kati ya mwaka 2017 na 2018 imeendesha kesi mbalimbali zinazohusiana na Utotoshaji au kukutwa na madini bila kuwa na kibali. Katika uendeshaji wa kesi hizo,Washitakiwa walitiwa hatiani na kuamriwa kulipa faini aua kutumikia kifungo gerezani pamoja na amri ya kutaifisha madini na fedha walizokamatwa nazo wakati wakisafirisha madini hayo. Madini yaliyotaifishwa ni Kilo 25.546 za dhahabu, zaidi ya kilo 76.020.20(Tani 76) za Colored gemstones, Tanzanite pamoja na fedha za kigeni za mataifa mbalimbali kumi na tano (15) zenye thamani ya TZS 1,023,608.515.12

NB:
Price of Rubellite is $400 to $1,000 per Carat
1142644


Tani 76 = 76x1000x1000x5 Carat
= 38,0000,000 carat
38,000,000 x $600 = $228,000,000,000

Wajuvi sasa tujadili
 
Wezi ni wajasili sana, na bado wataendelea kujaribu bahati zao pamoja na hatua zote hizi wanazoziona
 
Tunaaminije kuwa vyote vinavyodaiwa kuwa vimetaifishwa ni kweli vimetaifishwa!? Visual proofs wakati wanataifisha ziko wapi!?
 
Ndio maana Yesu alisema, ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mbingu...
 
Hicho kikotoo kinanipa tabasamu mwanana sana usoni nikikisoma

Hakika Tanzania tumepata kiongozi, yaani pesa na thamani za madini yaliyotaifishwa kwenye kipindi hiki cha mwezi mmoja ni zaidi ya billion 20 na vyote vimekabidhiwa hazina juzi, maana yake serikali inaanza sasa kuzitumia kwenye kuhudumia wananchi kitu ambacho zamani ilikuwa ni ndoto.

Naambiwa lile soko la madini lililozinduliwa Arusha juzi ndani ya wiki 2 tu, imeshafanyika biashara ya billion 3, sasa jiulize kabla ya hilo soko, pesa zote hizi zilikua zinaenda wapi?

JPM akili kubwa.
 
Back
Top Bottom