TanJet vs KIA

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Hivi kwa nini serikali haiwi open kuhusu huu mgogoro kati ya TAN JET na KIA?






mmlimiki wa TanJet huyu hapa

na naona Michuzi na Habari leo wamemprofile

HabariLeo | SUSAN MASHIBE; Rubani, Mhandisi wa Ndege gumzo Afrika Mashariki

something very nasty is going on in KIA lakini as I see it watakao faidika ni Kenya na Rwanda

 
Mkuu hukuitendea haki hii mada. Hebu tuelezee ulikuwa mgogoro gani; Kenya na Rwanda wangefaidikaje; na sasa ukiangalia nyuma je walifaidika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…