Tank la mafuta(fuel tank)

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Habari wanajf na wataalamu wa magari, kuna kitu kimoja kinanitatiza sana na kwa utaalaku wangu wote sijui effect yake ni nini.
- Ni nini kitatokea endapo kipande cha mbao au plastic kikaingia kwenye tank kwa bahati mbaya wakati wa kuweka mafuta kwenye tank. msaada tafadhali.......!
............Natanguliza shukrani..............
 
unashauriwa kulifungua na kukiondoa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…