Tano kali kutoka kwa Papa Love

Tano kali kutoka kwa Papa Love

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
SUPA 5 FROM PAPA LOVE
MAWINGU RECORDS ni nyumba ya heshima ambayo ilisanifiwa vyema na Boniphace Kilosa, mchonga njia wa muziki huu.

Kagusa mikono mingi sana lakini kwa upande wangu, hii mikono mitano inanifanya nitamani sana kusikia kazi nyingine mpya kutoka kwake.

Ukweli unaoshangaza ni kwamba, ngoma hizi tano ambazo ninazikubali zaidi kutoka kwa Bonny ndizo ambazo ninazikubali zaidi pia kutoka kwa wasanii hawa kuliko ngoma zao zote.
1. INGEKUWA VIPI - MWANAFALSAFA FT JAY MOE
2. DARASA HURU - JOS MTAMBO FT DULLY SYKES
3. KAZI ZA ATM - SIR LEB FT NOORAH, MWANA FA
4. WANAPAGAWA - Jebby Mubarak (Alikuwa rafiki yangu hapa, daah!)
5. MARA YA KWANZA - SAADAT FT MANDOJO.
Angusha tano zako kutoka kwa Bonny!!
1684756797562.jpeg
 
View attachment 2631206
1. Si Mchezo - Jos Mtambo
2. Mambo Bado - Sikumbuki kaimba nani huu wimbo
3. Wakati Umelala - MwanaFA featuring Jos Mtambo & Imam Abbas
4. Mabinti - MwanaFA
5. Hatuna Kitu - Rich One
 
Back
Top Bottom