Kwahiyo wameuza eneo la keep left au Round about?Round about
Keep left ni instruction ya barabarani inayomaanisha ukae upande wa kushoto kutoka kwenye kizuizi kilichopo barabarani au kutoka ilipo alama ya mstari wa katikati ya barabara , au muda mwingine inachorwa mishale ili kusaidia kuongoza magari haya maelekezo yanatolewa kwa nchi zinazoumia upande wa kushoto wa barabara kama kwetu Tz.Mkuu Naomba unisaidie tofauti ya keep left na round about