Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu jiridhishe kwamba katika nchi hii barabara kbwa kuliko zote na iliyo busy kuliko barabara yoyote nchini , ni kipande hiki cha Mandela Rd pale Buguruni.Tanroads washughulikie barabara kuu tu, hii barabara inatakiwa iwe chini ya Halmashauri ya jiji, Tanroads ni linesman likubwa mno Sawa na TRA, matokeo yake linashindwa kuwa kila sehemu
Inaelekea ile flyover ilijengwa kwa ajili ya waheshimiwa ili wapate urahisi kwenda kupanda ndege.Mfugale imewarahisishia kwenda Ikulu kutokea Airport.
Buguruni ilikuwa ni kiporo cha kuja kuombea mkopo baadae nadhan baadae yenyewe ndio sasa
Hiyo ni barabara kuu inayotoa mizigo bandarini na inayoenda kuunga Morogoro roadTanroads washughulikie barabara kuu tu, hii barabara inatakiwa iwe chini ya Halmashauri ya jiji, Tanroads ni linesman likubwa mno Sawa na TRA, matokeo yake linashindwa kuwa kila sehemu
Na hapo ndio nawashangaa WIZARA YA UJENZI NA MAWASILIANO.Hiyo ni barabara kuu inayotoa mizigo bandarini na inayoenda kuunga Morogoro road
nasikia mwendokasi utakatisha apo unaoenda Gongolamboto kutokea Rozana, so wanaweza kupanua au kubana zaidi, mana sasa zipo njia2 na mwndokasi haijawahi kuongeza njia bari kuzibana zile zilizopoNa hapo ndio nawashangaa WIZARA YA UJENZI NA MAWASILIANO.
Katika barabara hii nawapa weledi sifuri, maana hata solution ya tatizo hili kwa miaka sasa hakuna.
Pamoja na maboresho ya bandari, kwenye kuhakikisha mizigo inaondoka bandarini, kufikiri kwa maafisa wa Wizara kulishafikia mwisho.
Sawa mkuu, sishangai sana kupata jibu kama hili, Tanzania kuna kona tulikosea ,maana hata kuzitofautisha barabara ni shida, eti ni barabara kuu sababu ya mizigo kutoka bandarini!!!Hiyo ni barabara kuu inayotoa mizigo bandarini na inayoenda kuunga Morogoro road
Mkuu ukiwa na upeo mdogo wewe kubali tu.Sawa mkuu, sishangai sana kupata jibu kama hili, Tanzania kuna kona tulikosea ,maana hata kuzitofautisha barabara ni shida, eti ni barabara kuu sababu ya mizigo kutoka bandarini!!!
basi tuite barabara ya mtaa, ufurahi. Kwenye jiji kama Dar barabara kuu sio zile zinazoingia na kutoka jijini, bari hata hizi za ndani nazo kuna zenye sifa hizo japo si zote.Sawa mkuu, sishangai sana kupata jibu kama hili, Tanzania kuna kona tulikosea ,maana hata kuzitofautisha barabara ni shida, eti ni barabara kuu sababu ya mizigo kutoka bandarini!!!