TANROADS DSM: Tahadhari, stayed cables daraja la watembea kwa miguu kituo cha Bondeni barabara ya Bagamoyo zimelegea

TANROADS DSM: Tahadhari, stayed cables daraja la watembea kwa miguu kituo cha Bondeni barabara ya Bagamoyo zimelegea

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
20221231_090410.jpg
20221231_131842.jpg
20221231_131842.jpg

TANROADS DSM chukueni tahadhari, hasa idara yenu ya ukaguzi na maintainance

Daraja la waenda kwa miguu, cables ziko loose.
Kwa wanaohua mode of failure, cable ambazo ziko tight zaweza kukstika hivyo daraja kucollapse.
 
Attachments

  • 20221231_131923.jpg
    20221231_131923.jpg
    132.8 KB · Views: 5
Taarifa yako haijakamilika,
Daraja unalozungumzia liko mkoa gani, wilaya gani, eneo gani na linaitwaje?
 
Taarifa yako haijakamilika,
Daraja unalozungumzia liko mkoa gani, wilaya gani, eneo gani na linaitwaje?
Imeandikwa TANROADS DSM, Lugalo Mbezi Beach, Ĺugalo Jwtz, Bagamoyo rd, sehemu zote ni DSM
 
Back
Top Bottom