Tanroads kibaha updates

Tanroads kibaha updates

RORYAKWETU

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
83
Reaction score
13
wana JF naomba kujuwa kama Tanroads Kibaha wameshaita watu kwa ajili ya usahili kwa nafasi za ''shift in charge''. Natanguliza shukrani
 
mbona kimya sana. so mwenye infor. atujuze mazeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wadauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
bado hawajaita......lakini so far walioomba kwa nafasi zote wapo 2000+, na muda wowote mwezi huu huu mwanzoni mnawezwa kuitwa kuja kwenye written interview,
 
pouwa mazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wadauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
mbonnnnnnnnnnnnnna kimya sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa???????????????
 
Jamaa ameniambia hapa hpa jf kuwa watu wapo kazini kitambo sana
 
Back
Top Bottom