RORYAKWETU Member Joined Nov 18, 2011 Posts 83 Reaction score 13 Dec 1, 2012 #1 wana JF naomba kujuwa kama Tanroads Kibaha wameshaita watu kwa ajili ya usahili kwa nafasi za ''shift in charge''. Natanguliza shukrani
wana JF naomba kujuwa kama Tanroads Kibaha wameshaita watu kwa ajili ya usahili kwa nafasi za ''shift in charge''. Natanguliza shukrani
K kichwaones JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 399 Reaction score 49 Dec 1, 2012 #2 mbona kimya sana. so mwenye infor. atujuze mazeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wadauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
saimon111 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,355 Dec 1, 2012 #3 bado hawajaita......lakini so far walioomba kwa nafasi zote wapo 2000+, na muda wowote mwezi huu huu mwanzoni mnawezwa kuitwa kuja kwenye written interview,
bado hawajaita......lakini so far walioomba kwa nafasi zote wapo 2000+, na muda wowote mwezi huu huu mwanzoni mnawezwa kuitwa kuja kwenye written interview,
K kichwaones JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 399 Reaction score 49 Dec 2, 2012 #4 pouwa mazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wadauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
K kichwaones JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 399 Reaction score 49 Dec 13, 2012 #5 mbonnnnnnnnnnnnnna kimya sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa???????????????
RORYAKWETU Member Joined Nov 18, 2011 Posts 83 Reaction score 13 Dec 14, 2012 Thread starter #6 Jamaa ameniambia hapa hpa jf kuwa watu wapo kazini kitambo sana
K kichwaones JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 399 Reaction score 49 Dec 14, 2012 #7 pouwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa