Tanroads kibaha updates

Tanroads kibaha updates

RORYAKWETU

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
83
Reaction score
13
Habari jf!. Naomba kujuwa kama TANROADS Kibaha walifanya usaili mi niliomba nafasi ya Shift in charge maana ni mwezi wa pili sasa cijackia. Naomba kufahamu ili kama ndiyo business as usual niendelee na plan B yangu
 
Back
Top Bottom