richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Juzi nilipita zakiem pale hadi Rangi 3 mida ya saa 6 usiku, aisee nlichokiona ni zaidi ya uchafu hata kama watu wanatafuta rizki sio kwa uchafu ule.
Bara bara imejengwa mpya alafu kuna watu wanauza machungwa katikati ya barabara pambezoni, yaani kilichonishangaza ni mtu kafunga biashara alafu kacha zigo la maganda ya nachungwa limejaa barabarani ba kashaondoka yaani harabara imekuwa kama jalala.
Tanroads mjitathmini sio kwa uchafu ule barabara zinajengwa kwa garama zitunzwe tukiendekeza huu uchafu pale pataoza ndani ya mda mfupi.