Hivi Ni kwanini Tanroads mkoa wa Pwani ni Ni wazembe kiasi hiki? Kwa mfano ukipita barabara ya Bagamoyo kama unaelekea mikoa ya Kaskazini wamekata viraka ili wavizibe ila Ni kama wiki ya pili sasa vimeachwa hivyo hivyo.
Hi inatusababishia usumbufu Sana na uharibifu wa magari.
Hi inatusababishia usumbufu Sana na uharibifu wa magari.