TANROADS: Mradi wa BRT Awamu ya Tatu Dar, hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora

TANROADS: Mradi wa BRT Awamu ya Tatu Dar, hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Tunapenda kufafanua taharuki iliyozuka leo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Askari Monument ya Dar es Salaam.
IMG-20240611-WA0025.jpg

Ni kwamba ujenzi unaoendelea katika Mradi BRT Awamu ya Tatu hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora.

Hata hivyo, kutokana na ufinyu wa eneo la barabara katika makutano hayo, duara la bustani litapunguzwa bila kuathiri hadhi ya sanamu hiyo na usalama wa matumizi ya barabara.

(Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, TANROADS).
---
UFAFANUZI WA TANROADS
Tunapenda kufafanua taharuki iliyozuka leo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Askari Monument ya Dar es Salaam.

Ni kwamba ujenzi unaoendelea katika Mradi BRT Awamu ya Tatu hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora

Hata hivyo, kutokana na ufinyu wa eneo la barabara katika makutano hayo, duara la bustani litapunguzwa bila kuathiri hadhi ya sanamu hiyo na usalama wa matumizi ya barabara

(Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, TANROADS)

PIA SOMA
- Tetesi: - Sanamu ya Mnara wa Askari (Askari Monument) yaondolewa kupisha ujenzi wa Barabara
 
Kwajili ya maendeleo,ilo sanamu halina faida yoyote,
Kama vipi likatunzwe kanisani huko wanakoabudu masanamu walijumlishe na ilo awe mungu wao mdogo
 
Back
Top Bottom