Hilo tinga tinga limeharibikia hapo makutani ya service rodi na Bagamoyo rodi kwa wiki ya pili sasa. Magari yanapata taabu kupita na hata kuleta hatari za ajali. Hapo ni Bagamoyo rodi eneo la GOIG.
View attachment 1514174 View attachment 1514175
Hilo tinga tinga limeharibikia hapo makutani ya service rodi na Bagamoyo rodi kwa wiki ya pili sasa.
Magari yanapata taabu kupita na hata kuleta hatari za ajali.
Hapo ni Bagamoyo rodi eneo la GOIG.