TANROADS tunaomba na barabara ya Mbezi Mwisho kwa Yusufu-Mpigi Magoe via Mbezi High ipangwe kwenye bajeti, hata ile ya 2021/2022

TANROADS tunaomba na barabara ya Mbezi Mwisho kwa Yusufu-Mpigi Magoe via Mbezi High ipangwe kwenye bajeti, hata ile ya 2021/2022

Avictown

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
98
Reaction score
56
Kwenu TANROADS,

Najua hii barabara mnaijua na mnajua kwamba iko chini yenu. Kwa kweli hii Barbara ni kero zaidi ya kero. Kila siku utakutana na magari ya abiria njiani yameharibika. Magari binafsi ndio usiseme.

Kwa kweli wakazi wanaotumia hii Barbara wamekuwa wahanga wakubwa kwa kukosa magari maana inafika wakati wenye daladala wanaondoa magari yao kwa sababu ya gharama nyingi za utengenezaji.

Kwa thread hii, naomba watu wa TANROADS mtakapokuwa mnatengeneza mpango wa bajeti ya 2021/2022 basi na hiyo barabara iangaliwe.
 
Tunatengeneza barabara za mjini, kama mnataka chagueni Mbunge wa CCM.
 
Back
Top Bottom