Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Kuna vitu vinaumiza, unapoona watu wazima na akili zao wanaamua kuwa machawa sijui wanadhani wa Tanzania wore mazuzu!? Unasifiaje kazin ya Samia Miaka mine Barbara nyingi zimesimama hazijengwi SGR imeishia pale ilipoishia, ukiwa kiongozi msalie Mtume, unatetea kile kisichotoka moyoni sababu ya madlahi binafsi kumbuka utaulizwa.