Kwa bei hiyo hapo ni unyonyaji. Ingekuwa inawasha TV, Friji, pasi nk ungeweza kuwa na bei hata zaidi ya hapo sasa kuwasha tu taa na redio da aisee
kwako ndo unyonyaji ila kwa m2 wa chini ni mkombozi m-power m2 una vyumba 3 mafutata kwa siku una2mia ya sh ngapi bado kuchaji simu bado kununua bettery ya radio uwoni inapunguza gharama unalipia 350 kwa siku wakati mafuta ya taa kwasiku unanunua 1000 na zaidi
M-POWER ni kampuni inayotoa huduma ya umeme wa jua(solar) za kukodi zenye uwezo wa kuwasha taa,radio na kuchaji simu kwa gharama nafuu kutegemea maitaji yako kwamfano unanyumba ya vyumba 3 utalipa gharama ukufungiwa mtambo mdogo sh.elfu 10 na kulipia kila mwenzi sh.10,500/= tu jiunge nasi sasa kwa mikoa ya dar,moshi,arusha na manyara.kwa wale wa arusha piga 0755446433(agent john) na wale wa mikoa mingine piga namba ya huduma kwa mteja bure 0766240240