king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 368
- 571
Wakuu habari za muda huu,
Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”.
Kiukweli TanTrade mmetuangusha sana maonesho ya sabasaba hayabadiliki kabisa kilichofanyika miaka kumi nyuma ni sawa na kilichofanyika leo,nilitegemea tukuke engneering workshop zinazoendeleana na technologia ya sasa, nilitegemea tukute mialiko ya makampuni mengi ya nje katka nyanja mbalimbali, ila sasa sabasaba imekuwa sehemu ya michezo ya watoto na maonesho ya wizara ambayo kimsingi hayajakidhi dhima ya sherehe hii.
Tantrade mnatakiwa kuwa wabunifu wa shughuli yenu hii adhimu.