Na ndio kitu kikubwa nadhani hii Tantrade ilianzishiwa.
Wanatembea na ma VX, maofisi full AC hakuna lolote wanafanya. Akili ni kusubiri June wavae suti na sure za kanga wakafungue maonesho saba saba
Ukiwauliza watakwambia tupo kwenye mchakato wa sera endelevu kuhakikisha urari wa kibiashara haushuki kiwango stahiki na himilivu na kuhakikisha wafanyabiashara wananufaika na milango iliyofunguliwa, uliza matokeo sasa. Jitu linatoa haya majibu tangu anaajiriwa siku ya kwanza hadi Siku anastaafu
Hawana muda huo. Wanapishana airport kwenda Semina DubaiSouth Africa, Congo, kuna masoko ya mchele makubwa, Uganda , Rwanda, Burundi wanahitaji sana mchele, kenya, uganda, rwanda uhitaji mkubwa wa karanga nyekundu kubwa ambapo malawi huvuna mabilioni ya mapesa huko, sudani kusini na uganda soko kubwa la muhogo hao walitakiwa kwanza waende kwa wakulima wawaeleze kua walime zao fulani kwa ukanda huo la biashara halafu wahakikishe wametafiti masoko hayo uhitaji ni muda upi, lakini wanafanya ziara duniani za ujanja ujanja hawana faida sawa na bodi ya mazao mchanganyiko wapo wapo tu bila faida
Hawana muda huo. Wanapishana airport kwenda Semina Dubai
Hapo TANTRADE na sisi Zanzibar tunataka Mgao wetu. PASU-Kwa-PASU1. Majirani Kenya (KenTrade) wameboresha jinsi ya kupata huduma zao kidigitali (App) huku pia wakipambania kuuza Chai Sudan, Arabuni na China.
2. TANTRADE wanasubiri sare za vitenge na t-shirt pamoja na viingilio maonyesho ya SABASABA na mgao wa V8/VX.
3. Hivi Hawa TANTRADE huwa wanapewa targets Kwa mwaka?
NB: Waziri wa Biashara anaitwa nani?
Kama Mh. Rais Samia hatachukua hii comment yako kama pa kuanzia na wasaidizi wake, atakuwa hatutendei haki Watanzania.South Africa, Congo, kuna masoko ya mchele makubwa, Uganda , Rwanda, Burundi wanahitaji sana mchele, kenya, uganda, rwanda uhitaji mkubwa wa karanga nyekundu kubwa ambapo malawi huvuna mabilioni ya mapesa huko, sudani kusini na uganda soko kubwa la muhogo hao walitakiwa kwanza waende kwa wakulima wawaeleze kua walime zao fulani kwa ukanda huo la biashara halafu wahakikishe wametafiti masoko hayo uhitaji ni muda upi, lakini wanafanya ziara duniani za ujanja ujanja hawana faida sawa na bodi ya mazao mchanganyiko wapo wapo tu bila faida
Hizo kazi za kamlete,wanaweza nini?No mission no vission
Mkuu hizo mission na vision tunazo 😁No mission no vission
1. Majirani Kenya (KenTrade) wameboresha jinsi ya kupata huduma zao kidigitali (App) huku pia wakipambania kuuza Chai Sudan, Arabuni na China.
2. TANTRADE wanasubiri sare za vitenge na t-shirt pamoja na viingilio maonyesho ya SABASABA na mgao wa V8/VX.
3. Hivi Hawa TANTRADE huwa wanapewa targets Kwa mwaka?
NB: Waziri wa Biashara anaitwa nani?