Tanua mapafu kwa sekunde

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,229
TANUA MAPAFU S01E01

Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.

Alipofungua mlango,akakutana uso kwa uso na kijana mmoja kipofu aitwaye John,akamkaribisha kiti,kwa sababu anajua John ni kipofu,akavua taulo lake na ile khanga,akachukua mafuta ya lotion akaanza kujipaka kwa mbwembwe na pozi za kila aina.

"Enhee rafiki yangu john,nambie,kuna jipya?umeadimika saana rafiki yangu.John akamjibu,"yaap ni kweli niliadimika saana kwasababu nilikuwa China kufanyiwa operation ya macho na sasa nina uwezo wa kuona vizuri kabisa,kwa hiyo lengo la kuja hapa ni kukualika uje katika sherehe niliyoiandaa kujipongeza kwa operation kwenda vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…