Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Leo kutakuwa na Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 pale Qatar, kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo katika dimba la Benjamin Mkapa hapa Dar Es Salaam.

Taifa Stars wataingia dimbani wakitafuta point 3 muhimu ili waendelee kutengeneza mazingira mazuri ya kufuzu kombe la Dunia.

Ni mchezo muhimu sana, mechi itaanza saa 10:00 jioni na huu ndio uzi rasmi wa kuleta matangazo hapa, karibuni sana!!

=========

15' Mpira unaendelea uwanja wa Benjamin Mkapa, Time ya Taifa ya Congo inaongoza kwa goli moja lililofungwa dakika ya 6 na Gael Kakuta

66' Idumba anaipa Congo goli la pili, Tanzania 0-2 Congo

85' Ben Malango anaipa Congo bao la tatu

Mpira umwekwisha na Tanzania inapoteza. Tanzania itamaliza mechi ya kukamilisha ratiba na Madagascar

6CBC631D-76F8-4E4F-B368-826D8ED2BE6E.jpeg
 
Back
Top Bottom