Tanzania: 78% of People Affected By Food Shortages - Study

But watu 78% kufail ni trickide

sent from iPhone 7
Kwanza kabisa soma hapa storage ya chakula Tanzania kwenye source za uhakika



Hizi hapa ndio source za uhakika sa kuaminika. Achana na propaganda zenu za kikenya na wivu wenu wa kike.
Hali ya Chakula nchini kuelekea mwaka 2017 — Ministry of Agriculture Livestock and Fisheries


NFRA Official Website

Nataka nikuondoe ushamba kidogo. Mfumuko wa bei Tanzania upo chini ukilinganisa na huko kwenu. Hizi hapa ni taarifa zinaonesha namna gani ya mfumuko wa bei ulivyo

Tanzania is 5.4%
The Annual Headline Inflation Rate for the month of June, 2017 has further decreased to 5.4% from 6.1% recorded in May, 2017. This decrease in headline inflation explains that, the speed of price change for commodities in the year ending June, 2017 has further decreased as compared to the speed of price change recorded in May, 2017
Click to download the CPI June 2017(pdf)
Source: http://www.nbs.go.tz/nbstz/index.php/english/consumer-price-index-cpi/897-cpi-june-2017

Kenya 11.70%
The CPI increased by 0.75 per cent from 186.24 in April 2017 to 187.64 in May 2017. The overall year on year inflation was 11.70 per cent in May 2017.Download CPI and rates of inflation for May 2017
Source: Release of CPI and rates of inflation for May 2017 - Kenya National Bureau of Statistics
Sasa tuje kwenye bei za mazao


Bei ya mazao Tanzania
Nimweka hapo chini report ya bei ya mazao Tanzania wewe itazame. Hizo zote ni indicators muhimu za kujua hali ya uwepo wa chakula katika nchi.
Soma hapa:
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Sasa hebu tunagalie kwenu Kenya:
Hii hapa website yenu inayohusu hayo mambo ya bei za mazao. Halafu bahati mbaya kabisa hawajaweka bei ya mazao muhimu
Soma hapa:
Soko+



Nakuomba dogo usije ukaanza kukurupuka, na propaganda za media za nchi yenu. Hazina nafasi katika nchi yetu kila kitu kipo open.
 

Attachments

Fact given 78% including you wanalala njaa...wacha upuz mwingi

sent from iPhone 7
 
Fact given 78% including you wanalala njaa...wacha upuz mwingi

sent from iPhone 7
Hakuna kitu kama hicho TZ labda unataka kujifurahisha tu. Na hii ni comment yangu ya mwisho kwenye thread yako hii. Nimeshaweka maelezo ulivyotaka kupotosha nisawazisha mambo. So endelea kujifurahisha.
 
Hakuna kitu kama hicho TZ labda unataka kujifurahisha tu. Na hii ni comment yangu ya mwisho kwenye thread yako hii. Nimeshaweka maelezo ulivyotaka kupotosha nisawazisha mambo. So endelea kujifurahisha.
Nimekupea link from a Tanzanian trusted source lia lia kabsa but hamwezi ficha ukweli

sent from iPhone 7
 
Nimekupea link from a Tanzanian trusted source lia lia kabsa but hamwezi ficha ukweli

sent from iPhone 7
Mwaka huu njaa kama ya Kenya hautaiona Tanzania and you can take that to the bank. Kama Tanzania kuna njaa, where is the panic buying kama iliyokuwa Kenya? Mbona hakuna rationing kama iliyokuwa Kenya? Wako wapi starving people and animals kama tunaowaona in northern Kenya?

Twaweza wamefanya survey nyingi Kenya, unazikibali zote??
Kukiwa na njaa, inflection haibaki salama, mbona sisi ndio wenye inflation ya chini kuliko nchi yoyote ya Afrika mashariki na kati? Tena inazidi kushuka kila mwezi.
 
Ata uandike novel 78% njaa ni fact

sent from iPhone 7
 

Nikupostie zile map za Fao/ Wfp from 2010?

Mnashinda mkisema ati Kenya nchi ya njaa na Tz imerankiwa as having the third worst case of stunted growth as a result of poor nutrition in Africa.

UNICEF Tanzania - Nutrition - Overview

Ni upubavu wa hali ya juu mtu kusema ati Kenya ni nchi ya njaa juu wananunua mahindi ( na sio vyakula vingine) kutoka mataifa mengine...
 
Since when you ask for my permission to post anything on JF. Does lack of nutrition translate to hunger? The topic was about hunger, Kenya has hunger, Tanzania hasn't. Kenya receivers food donation, Tanzania doesn't. Kenya has food rationing, Tanzania ......well you know the rest.
 
Food insecurity is rampant problem almost every where in Africa, you boody fool

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Hizi ni baathi ya picha zikionyesha tatizo la njaa. Nime screen shot zikiwa na maelezo ili wasiseme ni fake. Nyingine nyingi nitakuwa nikiweka kadri ya thread itavyo trend. Nataka tumalizane vizuri.
 
Dabbab is a refugee camp....then just give me any evidence of 10% of Kenya's pop in hunger .....yours is 78%

sent from iPhone 7
 

Let me tel you this!

1; About Northern kenya being a desert!
This sounds absurd for a country that claims to be a middle income to sterve simply because a small proportion of it is said to be a desert!

With your income you could have increased production in other areas and supplement the rest of the country. Alternatively, you could have established irrigation schemes in that part of northern Kenya, but see, neither of these is implemented!

My friend, look at Egypt, the whole country is a desert! But they never mind abt this, they irrigate big areas enough to feed them and ship abroad.

2; Abt Kenya having a large number of refugees! Ni kweli you may have them, lakini kama njaa ingekuwa kwenye fefugee camps pekee, the story could be different! Tungekuwa tunaona headings zinahusu njaa kwenye refugee camps basi! But the story here ni kuwa Kenyans ndo wana sterve! Not refugees peke yao!

3; Kuhusu kenyans media kuliport, he he heee naona umeishiwa! Unasema we die silently? First of all nobody has ever died!

Secondly, even if our local media won't report, international media zingekuwa zimejaa report za namna hiyo!

Now can you bring us any hunger report written by an international media but never appearing in our local headlines?



A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…