Tanzania: A Tale of Two Influential Politicians

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
By: Azaveli Feza Lwaitama,
The Citizen


Dr Lwaitama, is a Senior Lecturer in Philosophy at the University of Dar es Salaam
 
Razzmatazz, engaging in palavers etc. etc? Lord have mercy! Kweli iko kazi.
 
Dhana ya uwajibikaji kwa Tanzania bado kabisa. Ilitakiwa kwa hizi shutuma Rostam, Chenge, Mwanyika na hata Hosea wawe wameshajiuzulu hadi sasa, ingewezekana hata rais mwenyewe ajiuzulu kwani hajatuonyesha kuwajibika kwake kwa kutowawajibisha hawa jamaa.
 
Mmh! Rostam, Chenge na Hosea wanastahili kujiuzulu! Pia wanaweza kuwa na mengi ya kuweka wazi yanayoweza kuleta mpasuko ndani ya CCM utakaoleta ushindani wa kweli ktk nchi yetu kisiasa. Wengine ni Lowassa na Balali!

EPA, Richmond, Import Support, nk ni tools muhimu katika kuleta mapinduzi hayo!

Mungu ibariki Tanzania na uongoze bila kuzuia mabadiliko yatakayoleta maendeleo ktk nchi yetu!
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…